Natamani niwepo uweponi mwako
Natamani niwe karibu nawe
Natamani niwe uweponi mwako
Natamani niwe karibu nawe
Natamani niwe uweponi mwako
Niutazame uzuri wako
Nisogee enzini pako
Niutazame uzuri wako
Nisogee enzini pako
Kila dakika, uwe nami
Kila wakati nakuhitaji
Kila dakika, uwe nami
Kila wakati nakuhitaji
Ni wewe tu nguvu zangu
Ni wewe tu Msaada wangu
Sitatoka, Natamani uwepo wako
Bwana natamani
Bwana natamani
Bwana natamani
Uwepo wako
Bwana natamani
Bwana natamani
Bwana natamani
Uwepo wako
Natamani nguvu zako
Natamani uwepo wako
Natamani roho wako
Bwana
Bwana wewe ni nguvu zangu
Tena wewe msaada wangu
Wewe ndiwe tumaini langu
Bwana
Natamani nguvu zako
Natamani uwepo wako
Natamani roho wako
Bwana
Bwana wewe ni nguvu zangu
Tena wewe msaada wangu
Wewe ndiwe tumaini langu
Bwana
Bwana natamani
Bwana natamani
Bwana natamani
Uwepo wako
Bwana natamani
Bwana natamani
Bwana natamani
Uwepo wako
Uwepo wako
Uwepo wako
Uwepo wako
Uwepo wako