Back to Top

Sara Nyongole - Simama (feat. Masolo) Lyrics



Sara Nyongole - Simama (feat. Masolo) Lyrics




Bwana wangu atanifanya
Mimi kuwa nguzo ya chuma
Tena akasema atanizungushia
Boma la shaba
Bwana wangu atanifanya
Mimi kuwa nguzo ya chuma
Tena akasema atanizungushia
Ukuta wa shaba

Mimi ni dhahabu safi
Kwenye moto nimepita
Nimekuwa kiumbe kipya
Ya kale yamepita
Ninapaa kama tai
Sitachoka mimi
Nimepata nguvu mpya
Nimesimama tena
Mimi ni dhahabu safi
Kwenye moto nimepita
Nimekuwa kiumbe kipya
Ya kale yamepita

Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we

Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni
Hawatatikisika kamwe
Wataenda kwa miguu lakini hawatachoka
Bwana atawategemeza miguu yao
Ijapo dhoruba yajapo mawimbi watasimama
Jua liwake mvua inyeshe hawatatereka
Ijapo dhoruba yajapo mawimbi hawatayumba
Jua liwake mvua inyeshe hawatatereka

Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we

Watu wote simameni
Na mfanywe imara
(Imara)
Maana Mungu mwenyewe
Yeye ameshafanya
(Fanya)
Wakati umefika
Sasa wa kuinuka
(Inuka)
Utukufu wa Bwana
Umewazukia
Simama

Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Bwana wangu atanifanya
Mimi kuwa nguzo ya chuma
Tena akasema atanizungushia
Boma la shaba
Bwana wangu atanifanya
Mimi kuwa nguzo ya chuma
Tena akasema atanizungushia
Ukuta wa shaba

Mimi ni dhahabu safi
Kwenye moto nimepita
Nimekuwa kiumbe kipya
Ya kale yamepita
Ninapaa kama tai
Sitachoka mimi
Nimepata nguvu mpya
Nimesimama tena
Mimi ni dhahabu safi
Kwenye moto nimepita
Nimekuwa kiumbe kipya
Ya kale yamepita

Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we

Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni
Hawatatikisika kamwe
Wataenda kwa miguu lakini hawatachoka
Bwana atawategemeza miguu yao
Ijapo dhoruba yajapo mawimbi watasimama
Jua liwake mvua inyeshe hawatatereka
Ijapo dhoruba yajapo mawimbi hawatayumba
Jua liwake mvua inyeshe hawatatereka

Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we

Watu wote simameni
Na mfanywe imara
(Imara)
Maana Mungu mwenyewe
Yeye ameshafanya
(Fanya)
Wakati umefika
Sasa wa kuinuka
(Inuka)
Utukufu wa Bwana
Umewazukia
Simama

Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we
Simama, simama we
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Sara Nyongole
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid




Sara Nyongole - Simama (feat. Masolo) Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Sara Nyongole
Length: 5:12
Written by: Sara Nyongole

Tags:
No tags yet