Back to Top

Sitaogopa Video (MV)




Performed By: Sara Nyongole
Language: English
Length: 4:38
Written by: Sara Nyongole




Sara Nyongole - Sitaogopa Lyrics




Nijapopita bonde la uvuli wa mauti
Sitaogopa, sitaogopa

Sitapungukiwa kitu
Ukiwa nami Yesu ni salama
Sitapungukiwa kitu
Ukiwa nami Yesu ni salama
Sitapungukiwa kitu
Ukiwa nami Yesu ni salama

Nijapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti
Sitaogopa maana wewe u pamoja nami Yesu
Nijapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti
Sitaogopa maana wewe u pamoja nami Yesu
Gongo lako na fimbo yako,
Vyanifariji
Umenipaka mafuta yako,
Na kikombe changu chafurika
Waandaa meza mbele yangu,
Machoni pa watesi wangu

Nijapopita bonde la uvuli wa mauti
Sitaogopa, sitaogopa
Maana wewe u pamoja nami
Sitaogopa, sitaogopa
Nijapopita bonde la uvuli wa mauti
Sitaogopa, sitaogopa
Maana wewe u pamoja nami
Sitaogopa, sitaogopa

Bwana ndiye mchungaji wangu
Katika malisho ya majani mabichi, hunilaza
Na kando ya maji ya utulivu, huniongoza
Nataka nikwambie
Haijalishi unapitia katika mazingira gani
Hali gani
Naomba nikuachie kitu
Ya kwamba Bwana ndiye mchungaji wetu
Atafanya kila kitu ambacho wewe unaona huwezi
Atakusaidia
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Nijapopita bonde la uvuli wa mauti
Sitaogopa, sitaogopa

Sitapungukiwa kitu
Ukiwa nami Yesu ni salama
Sitapungukiwa kitu
Ukiwa nami Yesu ni salama
Sitapungukiwa kitu
Ukiwa nami Yesu ni salama

Nijapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti
Sitaogopa maana wewe u pamoja nami Yesu
Nijapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti
Sitaogopa maana wewe u pamoja nami Yesu
Gongo lako na fimbo yako,
Vyanifariji
Umenipaka mafuta yako,
Na kikombe changu chafurika
Waandaa meza mbele yangu,
Machoni pa watesi wangu

Nijapopita bonde la uvuli wa mauti
Sitaogopa, sitaogopa
Maana wewe u pamoja nami
Sitaogopa, sitaogopa
Nijapopita bonde la uvuli wa mauti
Sitaogopa, sitaogopa
Maana wewe u pamoja nami
Sitaogopa, sitaogopa

Bwana ndiye mchungaji wangu
Katika malisho ya majani mabichi, hunilaza
Na kando ya maji ya utulivu, huniongoza
Nataka nikwambie
Haijalishi unapitia katika mazingira gani
Hali gani
Naomba nikuachie kitu
Ya kwamba Bwana ndiye mchungaji wetu
Atafanya kila kitu ambacho wewe unaona huwezi
Atakusaidia
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Sara Nyongole
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid


Tags:
No tags yet