Back to Top

Uko Juu Video (MV)




Performed By: Sara Nyongole
Language: English
Length: 3:35
Written by: Sara Nyongole




Sara Nyongole - Uko Juu Lyrics




Naamini nguvu zako, simba wa Yuda
Ukuu na uweza wako, vyapita vyote
Vizazi na vizazi wadumu milele
Uko juu ya vyote

Mawazo yangu siyo kama yako
Akili zangu siyo kama zako
Njia zangu siyo kama zako
Kama vile Mbigu zilivyo juu sana
Ndivyo na wewe, uko juu ya vyote

Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana

Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu
Matendo yako makuu, uweza wako pia Baba
Uko juu

Matendo yako ni ya ajabu, wacha mi nisimulie
Uligawanya bahari ya Shamu, Izraeli wakapita
Ulisimamisha Jua, wakati wa Joshua
Ukainua viwete, wote wakapona kwako
Uko juu, uko juu ya vyote

Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana

Uko juu ya vyote, Bwana
Duniani na mbinguni, hakuna kama wewe
Uko juu ya vyote, uko juu ya vyote
Matendo yako nguvu zako za ajabu hakuna kama wewe
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Naamini nguvu zako, simba wa Yuda
Ukuu na uweza wako, vyapita vyote
Vizazi na vizazi wadumu milele
Uko juu ya vyote

Mawazo yangu siyo kama yako
Akili zangu siyo kama zako
Njia zangu siyo kama zako
Kama vile Mbigu zilivyo juu sana
Ndivyo na wewe, uko juu ya vyote

Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana

Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu
Matendo yako makuu, uweza wako pia Baba
Uko juu

Matendo yako ni ya ajabu, wacha mi nisimulie
Uligawanya bahari ya Shamu, Izraeli wakapita
Ulisimamisha Jua, wakati wa Joshua
Ukainua viwete, wote wakapona kwako
Uko juu, uko juu ya vyote

Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana
Uko juu ya vyote, Bwana

Uko juu ya vyote, Bwana
Duniani na mbinguni, hakuna kama wewe
Uko juu ya vyote, uko juu ya vyote
Matendo yako nguvu zako za ajabu hakuna kama wewe
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Sara Nyongole
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid


Tags:
No tags yet