Shamba la babu, nalima
Nivune muhogo na shina
Ni weh
Tambarale mwa milima
Kufika kilele lazima
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana
Nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana
Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina
Muda wa kum chiti wala
Eeh
Nipo nyonyo
Nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
Aah, nimejaa tele
Aaah
Nipo nyonyo, nipo titi
Aah nimejaa tele
Nalishwa vinono
Nipo fiti
Aah nimejaa tele
Sitaki chupa ya soda baby niletee energy
Wajue upo na mimi watumie meseji ah
Mi hoi lege lege
Nitupie kwa bedi
Kabisa n'garagaze
Mpaka ni dead
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana
Nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana
Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina
Muda wa kum chiti wala
Eeh
Nipo nyonyo
Nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
Aah, nimejaa tele
Aaah
Nipo nyonyo , nipo titi
Aah nimejaa tele
Nalishwa vinono
Nipo fiti
Aah nimejaa tele