Ooh, oh oh
Asali ikiganda mwenyewe utapenda inavyo vutia
Turuke mchezo wa Kamba tuwe wote sambamba kwa kila njia
Mtoto yako Kanga umeniacha hoi acha nidate Eheee
Sio siri umejipanga mwendo wa kongoi, acha ni date
Every time I go, I go fight for you girl
Don't give me heart break, utaniweka roho juu
Every time I go, I go fight for you girl
Don't give me heart break, utaniweka roho juu
Kwako kipofu sioni, sioni
Penzi lako la nimaliza mimi
Umenijaa moyoni, moyoni
Mimi ni wako nakuomba unielewe
Dondosha mpaka chini mpaka chini bado!
Mpaka chini mpaka chini bado!
Uzuri wa Maji ya Mvua uasilia kutoka kwa Mungu Baba
Mteke mteke unavyotulia ukitembea wewe ni fundi wa kila idara
Itaniuma one day ukija sema mapenzi yangu mimi na wewe basi
Nilikwisha umizwa kinyama nilipopenda kote nikakosa chansi