Watasema vya kusema about you
You can win without anybody
Wako chini me nazidi kua juu
Yao waamshe waamshe
Ukinikosa mbezi ya chini mikocheni
Njo kwa bamdogo Jimmy kilingeni
Eh waamshe waamke
Ukinikosa mbezi ya chini mikocheni
Njo kwa bamdogo Jimmy kilingeni
Eh waamshe waamke
Si tunatamba kwa nyerere
Na pisi kali toka mbele
Masela acheni hiyo misele
Hungoi pisi bila mchele
Hungoi pisi bila mchele
Niko matawi ya juu
Why hate that
Unajifanya unaju
Why you fake that
Amenichora tattoo
Why you hate that
Why you hate that
Ukinikosa mbezi ya chini mikocheni
Njo kwa bamdogo Jimmy kilingeni
Eh waamshe waamke
Uku mishe mishe daily
Tuko bongo kama mbele
Mbongo mchawi sana shilling
Ukiwa nazo you never say man
You never say yeah,
You never say yeah
Niliopitia ni mengi toka mtaani sio tu geto
Ilishafika time nika share mpaka deto
Bebe hazipatikani nikaishia pika nye..
Niko matawi ya juu
Why hate that
Unajifanya unaju
Why you fake that
Amenichora tattoo
Why you hate that
Why you hate that
Why you hate that
Ukinikosa mbezi ya chini mikocheni
Njo kwa bamdogo Jimmy kilingeni
Eh waamshe waamke
Ukinikosa mbezi ya chini mikocheni
Njo kwa bamdogo Jimmy kilingeni
Eh waamshe waamke