Kushoto kulia msumali
Umebana moyo
Msumali umechoma moyo
Kilio nalia ukombali
Unatesa moyo
Umelala nchin kwa udongo
Mola akulaze salamaaaaa
Huku nime kwamaaa
Asubuhi kume pambazuka
Nalivuta shuka napapasua
Machoni navyo hangaika
Fumba fumbua nakuona dear
Aaaaaaaaaah i miss you
Uuuuh
Moyo sukuma damu
Naumebeba vingi
Sooo majukumu
Maumivu yenye vingingi
Umefifia liziki so kupata kukosa
Ulikua yangu ridhiki sa chuma
Zime kaza
Ila nalikumbuka jina
Aisha
Najilazia jina
Aisha
Bado nakukubuka jina
Aisha
Ndio Iinanipa uzima
Asubuhi kume pambazuka
Nalivuta shuka napapasua
Machoni navyo hangaika
Fumba fumbua nakuona dear
Aaaaaaaaaah i miss you
Uuuuh