Ndoto Yangu
I have a dream
I have a dream
To inspire the young
And the elderly
I have a dream
I have a dream
Wasema maisha hatua hatua
Kesho yetu maulana anajua
Kujaribu kuanguka kuamka
Hio yote ni Hali ya kukua
Pema usijapo pema
Hata ukipema sio pema tena
Ujana moshi wapita
Na haurudi tena
Yesterday is not today
You should try another day
Coz we all going through something
But we gonna be okay
Nitai timiza
Ndoto yangu Itatimia
Nitatimiza ndoto
Nitatimiza ndoto
Mtaniona kwa Tv
Mtanisoma kwa magazeti
Nitatimiza ndoto
Nitatimiza ndoto
Nitai timiza
Ndoto yangu Itatimia
Nitatimiza ndoto
Nitatimiza ndoto
Mtaniona kwa Tv
Mtanisoma kwa magazeti
Nitatimiza ndoto
Nitatimiza ndoto
Uta rauka usiku mapema kwa mvua
Kabla kuondoka Lazima upige dua
Maisha yako ni mola anajua
Mashida zako ni ye ata tatua
Utarudi kabla ile jua imetua
Mpenzi wako mletee maua
Umshukuru mola
Bila kubagua
Na mambo yako
Yatazidi kukua
Yesterday is not today
We should try another day
Coz we all going through something
But we gonna be okay
Nitai timiza
Ndoto yangu Itatimia
Me natimiza ndoto
Me natimiza ndoto
Mtaniona kwa Tv
Mimi Mtanisoma kwa magazeti
Natimiza ndoto
Me natimiza ndoto
Nitai timiza
Ndoto yangu Itatimia
Me natimiza ndoto
Me natimiza ndoto
Mtaniona kwa Tv
Mimi Mtanisoma kwa magazeti
Natimiza ndoto
Me natimiza ndoto
I have a dream
I have a dream
To inspire the young
And the elderly
I have a dream
I have a dream