Niokoe
Niokoe unibadilishe
Nikomboe Niwe kama wewe
Niokoe unibadilishe
Nikomboe niwe kama wewe
Niokoe unibadilishe
Nikomboe Niwe kama wewe
Niokoe unibadilishe
Nikomboe niwe kama wewe
Petro ulimbadilisha mvuvi wa samaki
Hadi akawa mfuasi wako ooh
Na me nimeona ishara
Maishani mwangu uu
Sitakua kama zamani
Niokoe unibadilishe
Nikomboe Niwe kama wewe
Niokoe unibadilishe
Nikomboe niwe kama wewe
Kama mnavyojua
Kubadilika si rahisi
Lakini ukim badilikia Yesu
Mambo yatakua easy
Kupanda Mti wa kubadilika
Ni uchungu lakini
Matunda yake yote ni matamu
Niokoe
Niokoe unibadilishe
Nikomboe Niwe kama wewe
Niokoe unibadilishe
Nikomboe niwe kama wewe
Niokoe unibadilishe
Nikomboe Niwe kama wewe
Niokoe unibadilishe
Nikomboe niwe kama wewe
Niokoe unibadilishe
Nikomboe Niwe kama wewe
Niokoe unibadilishe
Nikomboe niwe kama wewe