Niombe kingine kipi nipewe
Hapana baby ntakuwa nakufuru tu
Kilicho changu ndo chakwako wewe
Fungu langu nimepewa wewe
Haya mapenzi ona nanenepa tu
Sijutii kukupenda wewe... (walaaaa)
Ng'ang'ania Ng'ang'ania Ng'ang'ania
Mnipa raha wangu Unanipatia
Sijui kwanini tukigombana nalia
Hofu inanichanganya
Ding ding Dong ding dong
Njonjo unaziweza
Ukinishika utamu unakoleza (Unanikolezaaa)
Vile unanibembeleza
Mtoto wa watu umeniteketezaa ( Teketezaaaa)
Basi pendeza kwa sifa nikupost wakuone
(Baby go Give it up to me)
Wambea Vidomo shupa wakituona wakomee
(Baby go give it up to Me)
Ng'ang'ania Ng'ang'ania Ng'ang'ania
Mnipa raha wangu Unanipatia
Sijui kwanini tukigombana nalia
Hofu inanichanganya
Ding ding Dong ding dong