Back to Top

WINNER - Winny Lyrics

WINNER - Winny Lyrics

Ilkua elfu mbili ishirini na mbili
Mwezi wa pili
Alhamisi
Ndo ilkua day ya mwisho kuonana na msupa anaitwa winny
Winny
Nakumbuka uniambia me na wewe tutaishi forever
Baiby end ever
Si wawili tutakua together
Winny sijui ulishaa niroga
Kila night unanijia tu ndotoni
Kuja hata leo baby nikupeleke dinner jioni
Ndo aleast mawazo yapungue ju kila siku me najiuliza uko wapi mamii
Wenzangu wasikuchue naogopa mamii
Hey hey mmh mmmh
Winny oh no no sijui kama nitawahi kuona tena
Winny oh no no nilikupenda sana my babygirl2x
Winny 10x
Hata kama ni madoo
Ungeniongoja siku moja ningeja kupata
Isitoshe ukanivunja moyoo
Baby wangu na ukanisepa
Unajua ulikua namber moja winny
Ila ukamua kuondoka my darling
Me winner mapenzi sikuyajuaga
Winny we ndo ulinifunzaga
Ikaendaje ukanitenda
Na ulisema kwamba unanipenda
Winny oh no no sijui kama nitawahi kuona tena
Winny oh no no nlikupenda sana my babygirl2x
Mashariki magharibi
Pazuri ni nyumbani
Rudii nyumbani winny nimekumisii sana mimii
Tangu uondoke darling
Winny sijui ulishaa niroga kila night unanijia tu ndotoni
Kuja hata leo baby nikupeleke dinner jioni
Ndo aleast mawazo yapungue ju kila siku me najiuliaza
Uko wapi mamii
Wenzangu wasikuchue
Naogopa mamii
Hey hey mmh mmmh
Winny oh no no sijui kama nitawahi kuona tena
Winny oh no no nilikupenda sana my babygirl
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Ilkua elfu mbili ishirini na mbili
Mwezi wa pili
Alhamisi
Ndo ilkua day ya mwisho kuonana na msupa anaitwa winny
Winny
Nakumbuka uniambia me na wewe tutaishi forever
Baiby end ever
Si wawili tutakua together
Winny sijui ulishaa niroga
Kila night unanijia tu ndotoni
Kuja hata leo baby nikupeleke dinner jioni
Ndo aleast mawazo yapungue ju kila siku me najiuliza uko wapi mamii
Wenzangu wasikuchue naogopa mamii
Hey hey mmh mmmh
Winny oh no no sijui kama nitawahi kuona tena
Winny oh no no nilikupenda sana my babygirl2x
Winny 10x
Hata kama ni madoo
Ungeniongoja siku moja ningeja kupata
Isitoshe ukanivunja moyoo
Baby wangu na ukanisepa
Unajua ulikua namber moja winny
Ila ukamua kuondoka my darling
Me winner mapenzi sikuyajuaga
Winny we ndo ulinifunzaga
Ikaendaje ukanitenda
Na ulisema kwamba unanipenda
Winny oh no no sijui kama nitawahi kuona tena
Winny oh no no nlikupenda sana my babygirl2x
Mashariki magharibi
Pazuri ni nyumbani
Rudii nyumbani winny nimekumisii sana mimii
Tangu uondoke darling
Winny sijui ulishaa niroga kila night unanijia tu ndotoni
Kuja hata leo baby nikupeleke dinner jioni
Ndo aleast mawazo yapungue ju kila siku me najiuliaza
Uko wapi mamii
Wenzangu wasikuchue
Naogopa mamii
Hey hey mmh mmmh
Winny oh no no sijui kama nitawahi kuona tena
Winny oh no no nilikupenda sana my babygirl
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Patrick Wakana
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: WINNER

WINNER - Winny Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: WINNER
Language: English
Length: 3:42
Written by: Patrick Wakana
[Correct Info]
Tags:
No tags yet