Back to Top

Wyban & KP - My Woman Lyrics

Wyban & KP - My Woman Lyrics

Uh, Wyban! And KP!
(Yeah, yeah, yeah)
Hallaaa... Haaallaaa...!

You got the beauty, sijaona wengi kama we
We nikabidhi, bila gumdi mi nanata
Haijalishi una dhiki, hivo ulivo njoo nikupe love
Wako wengi haswa walioleta madharau
Hiyo yote utasahau
Sema nini unataka, we nipeti nikupe raha
I'm outta my mind, staki mwingine pekee ni we ndio unamatter
Kuwa nami ni ishara baby you're reasoning smarter
All of a sudden, ndio mara system ikashut
Nami n'taumia-umia
Ila baby no, never ever, never let me go
Tuishi kama Julie na Romeo
Usijali nipende nikupe love

Napenda unavyo deka, ukicheka naweweseka baby
Na vile unavyo nesa, when you get down, we ni wangu baby
Na ukikasirika, ukanuna, huwa nakosa amani
Niamini inaniuma, you're my woman nami niwako baby

Uh, First things first, you're a mystery
I'm more about the here and now, f*ck your history
Na hawa mafala wanajidai your exes
Ni ma-loser wote, baby girl you're the bestest
Come, lemmie prepare your breakfast
Hata Visita atambue who the guest is
Haters on you kama necklace
Usijali baby, nitawa squeeze matestis
So lemmie make it clear ndio dunia iweze skia
Nitakuvisha ring ju hukuniringia
My heart is in your hands, you're the only queen that kinged me
Took my breath away, so your love done killed me
Not really, I mean you're hot, really
Naona mbili mbili ju una mwili na akili
Do you realize something about your eyes
Looking into you is a piece of paradise

Second thing, you're still a mystery
Plus you make your own dough, pastries
(Uh!)
And I think it's quite amazing
Vile wewe husukuma wiki kama groceries
(Uh!)
Now did I mention that you're mostly
All I ever think about, awake & in most dreams
(Uh!)
You make me wanna spend a fortune
Na si lazima twende Mombasa ndio tuishi coastly
Alright now, shape of a bottle, una body ka ya model
We ndio mama yao, classiet kwa hii daro
Mi kijana barobaro, ulinihit ka tornado
Ju we ni more special than ngoma ya Mavado
Mi na we hufight in a way
But we both know Rome wasn't built in a day
We get back up again, so mimi nawait
Malaika ukam ndio tufly away

[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Kepron Mushi, Wyban Kanyi
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Wyban & KP

Wyban & KP - My Woman Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Wyban & KP
Length: 3:42
Written by: Kepron Mushi, Wyban Kanyi
[Correct Info]
Tags:
No tags yet