Ee Baba!
Baba
Baba ahsante
Ndani yangu nakuona
Kwa kinywa changu
Yako nayanena
Rehema na wokovu
Mbele naviona
Ahsante kwa hii nguvu
Maumivu haya ni ubinadamu
Nitulize kwa yako damu
Sina muda wa hofu
Natambua upo karibu yangu
Hata kama sikuoni
Neema yako yanishuhudia
Usiwe na Kikomo
Mungu wa miungu
Wengi hawajakutambua
Ila kwangu umejitambulisha
Ahsante Tena na Tena
Ufalme wako ni wanguvu
Kwa Yesu tumeupata
Mashetani yanatutii
Kwa damu yako ninashinda
Kila wakati
Mema unaniwazia
Kwako ndio uhalisia wangu
Usiniache peke yangu
Hakuna niwezalo
Baba nakuona
Upo ndani yangu
Kwa kinywa changu
Yako nayanena
Rehema na wokovu
Mbele naviona
Ahsante kwa hii nguvu
Ufalme wako ni wanguvu
Kwa Yesu tumeupata
Mashetani yanatutii
Kwa damu yako ninashinda
Kila wakati
Mema unaniwazia
Kwako ndio uhalisia wangu
Usiniache peke yangu
Hakuna niwezalo
Ufalme wako ni wanguvu
Kwa Yesu tumeupata
Mashetani yanatutii
Kwa damu yako ninashinda
Kila wakati
Mema unaniwazia
Kwako ndio uhalisia wangu
Usiniache peke yangu
Hakuna niwezalo