(Ewe Bwana Wangu)
Ninapolemewa, (Wewe) Wewe wanipa faraja
(Nikikosa nguvu) Na nikosapo nguvu
(Wewe) Wewe wanitia nguvu
(Hata kwa machungu) Hata kwa machungu
(Bwana) Bwana wanipa amani
(Wewe ngome yangu) Wewe ngome yangu
(Mwamba) Mwamba wa wokovu wangu
(Ewe Bwana Wangu)
Ninapolemewa, (Wewe) Wewe wanipa faraja
(Nikikosa nguvu) Na nikosapo nguvu
(Wewe) Wewe wanitia nguvu
(Hata kwa machungu) Hata kwa machungu
(Bwana) Bwana wanipa amani
(Wewe ngome yangu) Wewe ngome yangu
(Mwamba) Mwamba wa wokovu wangu
Bwana wangu Yesu, Wewe kimbilio langu
Unanifariji na kunipa tumaini
Wakati wa shida, mimi sitayumba yumba
Bwana wangu Yesu, ni msaada wa karibu
Bwana wangu Yesu, Wewe kimbilio langu
Unanifariji, (Na kunipa) Na kunipa tumaini
Wakati wa shida, mimi sitayumba yumba
Bwana wangu Yesu, ni msaada wa karibu
(Ewe Bwana Wangu)
Ninapolemewa, (Wewe) Wewe wanipa faraja
(Nikikosa nguvu) Na nikosapo nguvu
(Wewe) Wewe wanitia nguvu
(Hata kwa machungu) Hata kwa machungu
(Bwana) Bwana wanipa amani
(Wewe ngome yangu) Wewe ngome yangu
(Mwamba) Mwamba wa wokovu wangu
(Ewe Bwana Wangu)
Ninapolemewa, (Wewe) Wewe wanipa faraja
(Nikikosa nguvu) Na nikosapo nguvu
(Wewe) Wewe wanitia nguvu
(Hata kwa machungu) Hata kwa machungu
(Bwana) Bwana wanipa amani
(Wewe ngome yangu) Wewe ngome yangu
(Mwamba) Mwamba wa wokovu wangu
Dunia huzuni, twapatwa na maumivu
Usiku mchana, hofu na mahangaiko
Lakini kwa Yesu, tunapata nguvu tele
Walokosa nguvu, mje kwake Bwana Yesu
Dunia huzuni, twapatwa na maumivu
Usiku na mchana, hofu na mahangaiko
Lakini kwa Yesu, tunapata nguvu tele
Walokosa nguvu, mje kwake Bwana Yesu
(Ewe Bwana Wangu)
Ninapolemewa, (Wewe) Wewe wanipa faraja
(Nikikosa nguvu) Na nikosapo nguvu
(Wewe) Wewe wanitia nguvu
(Hata kwa machungu) Hata kwa machungu
(Bwana) Bwana wanipa amani
(Wewe ngome yangu) Wewe ngome yangu
(Mwamba) Mwamba wa wokovu wangu
(Ewe Bwana Wangu)
Ninapolemewa, (Wewe) Wewe wanipa faraja
(Nikikosa nguvu) Na nikosapo nguvu
(Wewe) Wewe wanitia nguvu
(Hata kwa machungu) Hata kwa machungu
(Bwana) Bwana wanipa amani
(Wewe ngome yangu) Wewe ngome yangu
(Mwamba) Mwamba wa wokovu wangu
Maumivu mengi, yanapo nisonga moyoni
Mafikira nazo, hata nikate tamaa
Ndipo Emmanueli, anifikia kwa wakati
Na kuzitatua, hitaji la moyo wangu
Maumivu mengi, yanapo nisonga moyoni
Mafikira nazo, hata nikatapo tamaa
Ndipo Emmanueli, anifikia kwa wakati
(Yeye) Na kuzitatua, hitaji la moyo wangu
(Ewe Bwana Wangu)
Ninapolemewa, (Wewe) Wewe wanipa faraja
(Nikikosa nguvu) Na nikosapo nguvu
(Wewe) Wewe wanitia nguvu
(Hata kwa machungu) Hata kwa machungu
(Bwana) Bwana wanipa amani
(Wewe ngome yangu) Wewe ngome yangu
(Mwamba) Mwamba wa wokovu wangu
(Ewe Bwana Wangu)
Ninapolemewa, (Wewe) Wewe wanipa faraja
(Nikikosa nguvu) Na nikosapo nguvu
(Wewe) Wewe wanitia nguvu
(Hata kwa machungu) Hata kwa machungu
(Bwana) Bwana wanipa amani
(Wewe ngome yangu) Wewe ngome yangu
(Mwamba) Mwamba wa wokovu wangu